PeakVibe

Kipusa atandikwa kwa kumtilia mteja mchele

Kipusa mjini Chavakali alivamiwa na wateja baani kwa madai kuwa alimtilia mmoja wa wateja ‘mchele’ kwenye bia yake -Demu huyo aliongeza kiungo kilichodhaniwa kuwa dawa za kulevya kwenye bia ya jamaa huyo akidhani kuwa amelewa chakari na kuwa hangeona -Wakimtandika jamaa huyo, waraibu baani walidai kuwa kipusa huyo alikuwa kwenye genge linalowapora wanaume kwenye baa eneo hilo Kipusa mmoja kutoka mji wa Chavakali, kaunti ya Vihiga anauguza majeraha makali baada ya kuvamiwa na wanywaji mvinyo baani kwa madai kuwa alimwekea mteja mmoja ‘mchele’.

Manchester City Defeat Chelsea To Celebrate 2022-2023 Premier League Title

Manchester City celebrated winning the Premier League for a record third consecutive season with their victory over Chelsea at Etihad Stadium on Sunday, May 21, 2023. City were crowned champions on Saturday after Nottingham Forest defeated Arsenal even before they took on Chelsea today. Hence, before the Manchester City Vs Chelsea clash, the Blues gave City a guard of honour as a sign of respect for being the newly crowned Premier League champions.

Meet the Ex-Prison Psychologist Who Thinks Chris Watts Is Innocent

Where is Chris Watts now? Meet the ex-prison psychologist who thinks Chris Watts is innocent on the June 25 episode 'Cellmate Secrets' on Lifetime. Source: LifetimeThe truth is often stranger than fiction, which is especially true in the tragic case of the Watts family murders. Nearly two years ago, Chris Watts pleaded guilty to multiple counts of first-degree murder after confessing to killing his pregnant wife, Shannan Watts, and their two daughters, Bella and Celeste, to be with his mistress, Nichol Kessinger.

Mmoja wa Wanaosaka Kazi IEBC Ajiondoa Baada ya Chuo Kusema Shahada yake ni Feki

Abdala Mohamed aliamua kujiondoa kwenye kikao cha mahojiano Jumatano Yeye na wenzake wawili; Dkt. Abdirizak Arale Nunow na Anne Mwikali Kiusya walifaa kuhojiwa siku ya kwanza na paneli ya kuchujaHata hivyo Chuo Kikuu cha Kenya Methodist kilisema cheti chake cha digrii ni feki na kwamba hakuwahi kuwa mwanafunzi wakeWagombea waliochaguliwa wanatafuta kuchukua nafasi ya makamishna wanne wa IEBC waliojiuzulu baada ya uchaguzi mkuu wa 2017Waliojiuzulu ni Roselyn Akombe, Paul Kurgat, Margaret Mwachanya na Connie MainaMmoja kati ya wagombea 36 walioorodheshwa kuhojiwa kwa ajili ya kazi ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) amejiondoa kwenye kinyang'anyiro.

Redeeming a 'Roblox' Gift Card Is Incredibly Simple

You'll have to buy a 'Roblox' gift card if you want more Robux. Here's how to redeem your gift card for the game so you can spend your Robux. Source: RobloxThe kid-friendly online platform Roblox has become incredibly popular as a way for young gamers to gather online and play together, creating their own games and spaces to interact with each other. Like many of these online games, there are certain features, skins, and accessories that are only available if you purchase Robux, the platform's in-game currency.